Mambo yamebadilika, pumba mbalimbali ambazo kwa miaka mingi zimekuwa zikitupwa katika maeneo mengi ya Tanzania, sasa zimeanza kugeuka kwa kasi kuwa rasilimali muhimu inayochangia kupunguza matumizi ya mkaa unaotokana na miti. Kwamba pumba sasa zimegeuka kama mojawapo ya bidhaa inayokuza ajira nchini, hii yote inatokana na ukuaji wa teknolojia ambayo sasa imesababisha baadhi ya Watanzania […]
Nishati mbadala ya kupikia kuharakisha maendeleo nchini
ASILIMIA 75 ya Watanzania wanaoishi vijijini hutegemea kilimo.Asilimia 80 ya matumizi ya nishati vijijini Tanzania ni kuni na mkaa, pia Dar es Salaam peke yake ina takribani watu milioni 5 ambapo wastani 70% ya wakazi hutumia mkaa kupikia. Inasemekana kwamba kuzalisha tani 590,000 za mkaa kwa mwaka hutumia tani 3,000,000 za miti na kusababisha hasara […]